iTel s11

Simu yako

+
Camera bora zaidi
+
Bodi Imara inayodumu zaidi
+
Spika zinaosikika vizuri sana

Inayodumu zaidi

Inakuja na Garantii ya miezi 12 toka iTel

Applications zote unazohitaji

Iwe ni Whatsapp, Facebook, Instagram, Snapchat au Badoo, iTel S11 inakupa kile unachohitaji.

Camera bora zaidi

Piga picha zenye kiwango cha picha za harusi. Au jiselfishe kwa urahisi zaidi

faq

Punguzo hili litafanyika sehemu gani?

iTel watafanya Punguzo hili kubwa zaidi la bei ya simu kupitia mtandao wa Punguzo.com

Kwanini ninunue kupitia Punguzo?

Punguzo.com ndio sehemu pekee ambako simu hizi zitapatikana kwa bei nafuu zaidi Tanzania nzima.

Simu inakuwa ni Mpya au imetumika?

Simu itakuwa ni mpya kabisa kwenye box lake original pamoja na warrant iliyonyooka toka iTel

Nitapataje simu yangu nikishanunua?

Ukishanunua simu yako. utaweza kwenda kuichukua kupitia duka lolote la iTel au Tecno lilolopo karibu nawe, sehemu yoyote Tanzania

specs

Kila kitu unachohitaji utakipata ndani ya iTel S11

Technology

Design

Hardware

Camera

Music

Connectivity

Nijulishe Lini

Kujua ni tarehe ngapi PUNGUZO hili kubwa zaidi la bei ya simu kuwahi kutokea litafanyika, andika namba yako ya simu hapo chini nasi tutakufahamisha